IQNA

Filamu | Dua ya Mwezi wa Rajab kama inavyosomwa na marhum Musawi Qahhar

IQNA- Tukiwa tumeingia katika mwezi mtukufu wa Rajab al-Murajjab, kundi la hamziya Al-Ghadir (Tanin) limetoa na kuzindua kazi mpya yenye jina "Dua ya Mwezi wa Rajab". Kazi hii imetayarishwa kwa mtindo wa kisomo maarufu cha dua cha marehemu Sayyid Abulqasim Musawi Qahhar, Allah amrehemu na ampe makazi ya amani peponi.